NAIBU WAZIRI DKT. KIRUSWA APIGA MARUFUKU UCHIMBAJI HOLELA WA MADINI.

NAIBU Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amepiga marufuku wachimbaji wa madini kuchimba kiholela bila kuzingatia utaalamu wa kuchimba, kwani hali hiyo hupelekea vifo vya watu kwa kufukiwa na vifusi. “Nimepata taarifa hapa kulishatokea vifo vya watu kwa kufukiwa na vifusi, udongo wa hapa ni tifutifu. Naomba mzingatie uchimbaji wa kitaalam, acheni uchimbaji wa njia